Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Tuulinde Muungano wetu. Busara itumike kuamua mambo. Leo Afrika Mashariki -Burundi, Rwanda, Uganda, Tanzania na Kenya wanajitahidi kuelekea kwenye federation,lakini utashangaa baadhi ya watanzania wanataka kurudi nyuma -kuua hata hiki kilichopo. Acheni mchezo wa siasa. Mbona hamtolei mfano wa Amerika iliyokubali kusahau nchi zao na kuwa taifa moja. Leo hii ina Rais mmoja na mambo yanaenda vizuri? Jamani acheni uchu wa madaraka.

    ReplyDelete
  2. Mdau wa kwanza,

    Wapinga Muungano wameula wa chuya!!!

    Ndio kwanzaa Muungano unazidi kukomaa!

    MUUNGANO OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  3. Nilifurahiswa sana na Kauli ya Mheshimiwa Aboud Waziri Ofisi ya Raisi Muungano wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

    Ktk Hotuba yake siku kadhaa nyuma alisema,''Wazanzibari mjiandae kwa kuingia kwenye Muunganomkubwa zaidi wa Afrika ya Mashariki, zaidi ya Muungano wa Kwanza uliopo''

    Ni kuwa Viongozi wa Visiwani wanajua ya kuwa ktk dunia hii ambapo HAKUNA TENA ULE UCHUMI NA DIPLOMASIA YA KIZAMANI YA KUENDESHA SERIKALI YA NCHI KWA MISAADA, KITU KAMAMUUNGANO NDIYO SULUHISHO PEKEE.

    NI WAZI HAKUNA NCHI KTK USO WA DUNIA ITAKAYOWEZA KUPATA MAENDELEO YA KWELI KWA KUJITENGA, MAENDELEO HUPATIKANA KWA KUPITIA MUUNGANO.

    MKOLONI WA KIARABU AMEKAA MIAKA 300 (KARNE TATU) HAKULETA MAENDELEO ZAIDI YA USAFIRI WA KUTUMIAMIKOKOTENI YA KUSUKUMWA NA PUNDA NA MAJI YA VISIMA KWA KUVUTA NDOO KWA KAMBA, WAKATI NDANI YA HII MIAKA 50 TU YA MUUNGANO ZANZIBAR IMEPIGA HATUA KUBWA SANA ZA MAENDELEO!!!

    ReplyDelete
  4. mdau namba 3 zanzibar ndo nchi ya kwanza Africa kuwa na reli iliokuwa inatumia mkaa wa mawe.lile jumba la maajabu(bait el ajaib) imeitwa hivyo kwa sababu ndio ya kwanza ya ghorofa ya aina yake,ya kwanza kuwa na lift,ya kwanza kuwa na umeme AFRICA.usikurupuke tu.

    ReplyDelete
  5. Mdau wamwisho nakukumbushia pia ndio nchi ya mwanzo katika afrika mashariki kuwa na Tv tena ya rangi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...