Bondia Sukkasem Kietyongyuth kutoka Thailand kulia akitunishiana misuli na Fransic Miyeyusho baada ya kupima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao wa Jumamosi ya leo April 19 katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam.
Bondia Sukkasem Kietyongyuth kutoka Thailand kulia akitunishiana misuli kwa mkono na Fransic Miyeyusho baada ya kupima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao wa Jumamosi ya leo April 19 katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam
Bondia Sukkasem Kietyongyuth kutoka Thailand kulia wakipeana salamu ya heshima na Fransic Miyeyusho baada ya kupima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao wa Jumamosi ya leo April 19 katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Ankal, umeanza kukodisha t-shirt yetu ya globu ya jamii? Naona jamaa hapo kati kajinyukia..
ReplyDelete