Mwalimu mkuu wa shule ya sekondari ya Irkisongo wilayani Monduli Happness Nyange (kushoto) akipokea mchango wa shilingi millioni tatu kutoka kwa Meneja Mwandamizi wa masuala ya kibenki wa CRDB,Dkt. Bennett Bankobeza ikiwa ni kwaajili ya kusaidia shule hiyo hiyo ambayo mabweni yake yaliteketea kwa moto hivi karibuni. Wanaoshuhudia pembeni ni Meneja wa CDRB tawi la TFA Arusha,Bi. Amulikiwa Massawe (wa tatu kulia) na madiwani wa halmashauri ya Monduli.Mwisho kulia ni mkurugenzi wa halmashauri hiyo ya Monduli Twalib Mbasha.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...