Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa pamoja na Mkewe Mama Regina Lowassa wakitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha aliewahi kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli,Marehemu Mathew Gadi Mwanga,Nyumbani kwake jijini Arusha.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa pamoja na Mkewe Mama Regina Lowassa wakitoa heshima za mwisho kwa Mwili wa Marehemu Mathew Gadi Mwanga,aliewahi kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli wakati walipofika kuhani msiba huo nyumbani kwa Marehemu,Jijini Arusha.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. MsemaKweliJuly 26, 2014

    huku sio kuhani, bali wameenda msibani. Kuhani na baada ya mazishi unakwenda kutoa pole. RIP Mkurugenzi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...