Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 29, 2014

    Dekula Vumbi Kahanga, Bobo Sukari wote hawa ex-Maquis Original na timu nzima ya Dekula Banda naona mnafanya kazi nzuri ya kuenzi muziki wa dansi wa Tanzanaia , asanteni sana.

    Mdau
    Christos Papachristou
    Diaspora

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 29, 2014

    Vijana mnaona kazi za kikubwa katika live performance, mjue muziki wa dansi bado una nafasi yake duniani.

    Hivyo siyo vijana wa kizazi kipya mfanye muziki wa studio tu au stejini mnatumia CD au lap top bila uwezo wa ku-perform live mkiwa bendi/wasanii mmekamilika idara zote kuanzia sauti, ala za vyombo na kulitawala jukwaa.

    Mdau
    Kijana wa Mkongwe

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...