Meneja Mawasiliano wa Hifadhi za Taifa,TANAPA Pascal Shelutete akikaribisha mijadala kwa washiriki katika warsha ya Mashirikiano kati ya TANAPA na Vyombo vya Ulinzi na Usalama 
Baadhi ya Washiriki katika Warsha hiyo wakifuatilia kwa makini majadiliano.
Mhifadhi mkuu Mtango Mtaiko akiwasilisha mada kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu TANAPA ,Allan Kijazi juu ya majukumu na changamoto zinazoikabiri TANAPA kwa ujumla.
Meneja Ulinzi wa Hifadhi za Taifa ,TANAPA ,Emily Kisamo akiwasilisha mada juu Uhifadhi/Ulinzi wa Maliasili na Changamoto zake(Ujangili) na Mfumo wa Jeshi Usu.
Baadhi ya washiriki wakifuatilia mjadala.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...