Mtangazaji wa michezo wa E FM 93.7 Maulid Kitenge akiwa na Gwiji wa zamani wa Real Madrid Luis Figo alipowasili usiku huu jijini Dar es salaam na wachezaji wenzie nyota wa zamani wa timu hiyo ya Hispania ambayo Jumamosi itakipiga na wachezaji nyota wa Tanzania kwenye mchezo wa kimataifa wa kirafiki uwanja wa Taifa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. nina imani Tanzania itawafunga old realmadrid kwa 5-2 au 2-0 au 3-1 kati ya hizo

    ReplyDelete
  2. Sure, hii ni nzuri

    ReplyDelete
  3. Mmmh!!! Kesho ndio kesho!!! Nani kuchukua ushindi

    ReplyDelete
  4. Karibu sana mgeni wetu upate kichapo cha wa tz

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...