IMG_9800Fr. Shao wa kanisa la Katoliki Balktimore anayeongoza Parokia hiyo pamoja na misa za Kiswahili DMV akiwa na Padre anayechukua nafasi yake Fr.Honest Munishi Jumapili katika ibada maalum ya kumwaga Padre Shao iliyofanyika huko Baltimore Maryland, Fr.Evoda Shao baada ya kuhudumu kwa miaka 9 sasa anarudi kuendelea na huduma nyumbani Tanzania. IMG_9827Mapadre wakiongoza ibada. IMG_9927Balozi wa Tanzania Washington Dc na Mexico Mh.Liberata Mula mula akitoa maneno ya kumuaga Fr.Evod Shao. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...