Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni,Injinia. Mussa Natty (kulia), akifungua semina kwa wafanyakazi wa Halmashauri hiyo Jijini Dar es Salaam kuhusiana na ueneaji wa hewa ukaa na matumizi sahihi ya nishati jadidifu nchini (kushoto), Mratibu wa Shirika Lisilokuwa la Kiserikali WWF.Bw, Asukile Kajuni.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni,Injinia. Mussa Natty akiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa Halmashauri hiyo mara baada ya kufungua semina.
HABARI PICHA. NA PHILEMON SOLOMON
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...