Yummies Bakery ni mabingwa wa kuoka mikate mbalimbali, wakitumia kauli
mbiu yao ya '' we bake to differ'' yaani tunatofautisha uokaji, kwa
kuoka mikate bora kabisa na yenye ladha Nzuri; wapo Sinza Mori
wanatizamana na kituo cha mafuta cha Big Bon , pia wana branches zao
Masaki Chole Road Kituo cha Tax, Mwenge nyuma ya police post na
Mbezi njia ya chini Kituo cha Msikitini, ukifika hapo utapata mikate
mizuri ya brown , sweet breads, white breads, milk breads, maandazi ,
chapati , Pan Cakes, bites za aina zote, cookies, pastries,
doughnouts,biscuits,pizza na
burgers.
Yummies Bakery pia ni mabingwa wa kutengeneza keki za aina zote
kuanzia birthday, wedding, anniversaries, graduations, corporate
events. wanatengeneza keki zenye picha kwa kutumia karatasi maalum za icing
sugar
zinazoweza kuprint picha za aina mbalimbali zinazolika; leta picha yako, ya
mwanao au chagua cartoon yeyote tutaprint na kuweka juu ya keki.
Wasiliana nao kwa namba 0655 672772 au 0657 913807
Pia kwa email : yummiesb@gmail.com
'' Chagua Yummies upate ubora'
African Farmer Polland: Vizuri African Farmer ikiundiwa Kibaha au Mahenge!
ReplyDelete