Ndugu Richard Kilimbe anasikitika kutangaza kifo cha Binti yake Doris Richard Kilimbe wa Mwanza kilichotokea tarehe 20/11/2014 na kuzikwa tarehe 23/11/204.Nawashukuru wote walioshiriki msiba huu na Mungu awabriki.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Pole sn Mr. Richard kwa kuondokewa na binti yako,polen sana wana familia. we love her so much bt mungu kampenda zaidi. RIP DORIS YOU GONE TOO SOON DARLING.

    ReplyDelete
  2. Karungula, Deo. L.November 25, 2014

    Pole sana ndugu yangu Richard Kilimbe kwa kumpoteza mtoto wako kipenzi ! Hilo ni PIGO kubwa lakini nakuomba umtegemeze MUNGU katika yote !

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...