Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (wa pili kutoka kushoto) akishiriki kikao cha Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka Ubelgiji walipokutana na Uongozi wa Mkoa wa Pwani.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Mwantumu Mahiza (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka Ubelgiji baada ya kutembelea fursa mbalimbali za biashara na uwekezaji zilizo Mkoa wa Pwani. Balozi wa Tanzania Ubelgiji anaongoza ujumbe huo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Tungependa kuona hao wawekezaji kutoka Belgium wanaandaliwa mazingira mazuri na hatimaye kuwekeza, angalau tutaona maana ya zile picha unazopiga nao Mheshimiwa pamoja na hiyo safari ya kuongozana nao Bongo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...