Meneja wa Biashara na Masoko wa Benki ya First National Bank (FNB), Adam Yusuf (aliyesimama
ndani ya banda) akiwaeleza wateja namna benki hiyo inavyojitahidi siku hadi kukidhi matakwa ya wateja
wake, ambapo kwa sasa imeongeza matawi na huduma za ATM, katika muktadha wa retail, SME,
Comercial and Corporate Banking, Visa Debit Cards, InContact Mesaging, Online and Cellphone Banking,
katika maonesho ya zana za kilimo maarufu kama ‘Agri Business East Africa’ yanayoendelea hotel ya
serena Dar es Salaam.
Home
Unlabelled
FNB KATIKA MAONESHO YA ZANA ZA KILIMO 'AGRI BUSINESS EAST AFRICA' JIJINI DAR
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...