Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema (kushoto), akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi baada ya kumaliza mbio zake wilayani Temeke Dar es Salaam leo asubuhi. Mwenge huo umeanza mbio zake wilayani Ilala leo na kesho utakabidhiwa wilaya ya Kinondoni.
Vijana wa hamasa wa wilaya ya Ilala wakishangilia katika hafla hiyo ya kukabidhiwa mwenge huo.
Kina Rama Makunja wanashangaza sana! mwenge ni kitu cha furaha na mila tuliachiwa na mwalimu Nyerere lakini kina ras makunja wao ni magitaa mkononi kila wakati
ReplyDeletekina ras makunja wamependeza
ReplyDelete