Mchumi kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Bw. Lusajo Mwankemwa akielezea sababu za kushuka na kupanda ghafla kwa thamani ya Shilingi ya Tanzania katika banda la BOT viwanja vya SabaSaba jijjini Dar es salaam Juni 30, 2015

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 01, 2015

    Tusubiri tuone kama shilingi itapanda

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 01, 2015

    mwenzangu anony wa kwanza umesikia kivipi maana sauti iko chini sana au una Bose spika.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 01, 2015

    Well said Mr. Lusajo Mwankemwa

    ReplyDelete
  4. ankal vipi bao letu la exchange rates?? unalotuwekeaga hapa? linatusaidia sana sisi wadau wako, naomba kila wiki ikiwezekana ili tujue upandaji na ushukaji wa shillingi yetu..
    natanguliza shukran ankal

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 01, 2015

    Hoja alio itoa kuhusu kuja kwa watalii sehemu ya pili ya mwaka ni ndogo kwasababu tukumbuke kuwa kuna uchaguzi mwaka huu na mara nyingi nchi zetu kunapo kuwa na uchaguzi watalii huwa hawaji.

    Lkn pia uchaguzi utakapo karibia kampeni zikianza pesa nyingi zitatumika kwahiyo shilingi bado huko baadae itaendelea kushuka.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 02, 2015

    Mchumi Lusajo mwankemwa upo juu safi sana..yan unaeleweka kinomaa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...