Mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na baadhi ya waheshimiwa wengine wakisimama Jukwaa kuu wakati wakipokea rasmi maandamano ya Wafanyakazi wakati wa sherehe za maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) zilizofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, leo Mei 1, 2016.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni PPF, wakiwa katika maandamano wakipita mbele ya mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (hayupo pichani) wakati wa sherehe za maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) zilizofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, leo. Picha zote na Mafoto Blog
Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.
Raawu......
Sehemu ya wafanyakazi waliohudhuria sherehe hizo......

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. sikukuu ya wafanyakazi ilikuwa nzuri, hotuba ya Raisi ilikw nzuri ila HALOTEL walitisha sana kuwapa wizara ya mambo ya nje miamvuli ya kujikinga na jua na mvua, huu ni mfano mzuri wa kuigwa kama kampuni ya mawasiliano wanatakiwa kujali serikali

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 02, 2016

    siku ya wafabnyakai ilikuwa nzuri sana, ila nawapongeza Halotel kwa kuwapa wizara ya mambo ya nje miavuli kujikinga na mvua na jua.inaonyesha inaijali serikali .huu ni mfano mzuri kuigwa na kampuni nyingine

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...