Mashabiki wa muziki wamejitokeza kupakuwa kuitazama video ya Mshindi wa Airtel Trace Music Stars Afrika Nalimi Mayunga aliyoifanya na mwanamuziki nguli nchini Marekani Akon Bofya kwenye mshale mweupe  hapo chini uone LIVE Video hiyo ya Mayunga au uone mahojiano yake wakati akiwa nchini marekani. Utapata pia kujua jinsi ambavyo Airtel kupitia shindano lake la Airtel Trace Music Stars lilivyomwezesha Mayunga kufikia ndoto zake. Bofya video ya pili

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...