Mwana Fa aka Binamu (wa pili shoto akiwa na wadau wa sauzi) akiambatana na Blackryno jana waliwapagaisha wapenzi wa Bongo flava waishio Cape Town , Afrika ya kusini. Katika concert lililofulikwa na wapenzi wa bongo flava kutoka nchi mbalimbali za Afrika, Mwana Fa aliwahakikishia wapenzi wake kuwa yeye ni moto wa kuotea mbali. Blackryno naye hakusita kuwaonyesha wapenzi wa musiki wa bongo flava hapa Cape Town kuwa Bongo hip hop inatisha.
Kwa habari zaidi za tukio lote tembelea
Mdau Cape Town

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Mwana FA Big UP man..music na shule ila pleaseeeeeeeeeee nipe link ya chuo chako nami nikapige maana yaonyesha hakipo taiti sana kamanda..au wewe upo level gani..kama ni master pleaaseeee nipatie nami nikafanye mambo UK

    ReplyDelete
  2. AMEMALIZA KOZI UK YA FINANCE (MASTER)

    ReplyDelete
  3. amesoma coventry uni nadhani au chochote lakini ni ktk mji wa coventry.

    ReplyDelete
  4. huyo mdau wa pilikutoka kulia mbona kama ni ALEX KATALIYEBA wa pale Msolwa Sec school.(1999-2001),na tulikuwa pale wote st Antony-mbagala.(2003-2005).mzee is long time
    Mdau Essen.

    ReplyDelete
  5. we anonymous wa hapo juu ni kweli huyo ni Alex katalyeba jamaa namkumbuka kwa kukata topic za mbele wakati tupo o level.
    Ex msolwa .

    ReplyDelete
  6. Mzee Alex unamkubuka sister UGENIA headmistress wetu wa pale msolwa.alikuwa anatoa suspension kama mjungu,na bila kusahau walimu kama Mbogo na Kisalika na Matron mama BasiBasi walikuwa ni wanoko sana kwa wanafunzi hao ndo walikuwa wanapeleka infomation kwa mkuu wa shule na kusababisha suspension

    Ex msolwa(2000-2003) pia one of the suspended student.
    mdau hapa Austria.

    ReplyDelete
  7. Aaaah safi sana ilikuwa show kaali lakini mpango wa kupafomu nyimbo nne tu kesha maliza wanamuziki wetu hawatafika mbali tumelipa R50 kwa ajili yake alafu vi nyimbo vinne tu anatoka kwa mtindo huo unafanya watu wasije tena ktk show nyengine angalia wakishuka wanyamwezi wanakamua mpaka mnaridhika Bora alivokua babu alikuepo 4wayz pia lakini alikamua mpaka watu wakaridhika sio mambo ya ubishow anaingia sa nane usiku na nusu kesha maliza wapi na wapi ok powa mdau toka Woodshock

    ReplyDelete
  8. nakupa hongera MwanaFa nilipenda lifestyle yako na jinsi ulivyoimba,ila waandalizi wako waliniboa sana,wanatuambia saa 2 utatumbuiza wanakuleta saa 8 usiku,hawajui wengine tunakaa mbali na ulipopiga na pia walivunja ratiba zetu tulizopanga japo watadai ndio starehe,waliniboa sana inasemekana walikuwa wanakuzungusha mitaa ya town usiku huo,sawa sikatai kwanini wasingekuzunguka mapema,na pia kama walikuzungusha ningependa kusikia pia walikuzungusha kila mitaa sio kukuzungusha sehemu za hali ya juu tu na wewe bila kukuzungusha hata mitaa mingine ya wastani na ya chini ili ujue lifestyle wanayoishi na wabongo wanaishije,mana navyojua wabongo asilimia kubwa mabitoz wanaonyesha nakutembeza sehemu nzuri tu la! lazima uonyeshe pote sio unamtembeza sehemu 1 tu,unaweza kukimbia na kudanganya ila kamwe hauwezi kuikimbia au kuidaganya nafsi yako na kujipendekezapendekeza mrushwe majina yenu tu,ila big up MwanaFa nimekukubali upo social sana japo zoea usumbufu uliotokea hatuwezi wote kuwa sawa tunatofautiana kiakili kifikra na kimawazo pia,ila tumefurahi karibu tena Cape Town

    ReplyDelete
  9. usio MwanaFa bali waliokuwa nao mabitoz,babu alikuwa na waandalizi wasio mabitoz walimtembeza kila mitaa ya Cape Town ushuani hadi uswazi,ila huyu mabishoo walijifanya kumzungusha town tu bila kujali wengine wanakaa mbali wanamleta saa 8,siku nyingine tukisikia mnaleta hizo zinatufanya tususe matamasha ya wasanii wabongo mana mnaleta miyeyusho ileile ya kibongo nyie wasimamizi uchwara,tutakuwa tunasubiri mastaa wa kimataifa tu,ila MwanaFa big up nakupa!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...