SIMU.TV: Bweni la wavulana katika shule ya sekondari ya Aldasgate iliyopo wilayani Babati mkoani Manyara lateketea kwa moto na kusababisha hasara kubwa.https://youtu.be/hYLIWLt0W_I
SIMU.TV: Rais Dr. John Pombe Magufuli awaalika wafanyabiashara kutoka nchini Cuba na serikali ya Cuba kuja kuwekeza na kujenga viwanda Tanzania.https://youtu.be/egpbxL19NC0
SIMU.TV: Mtandao wa watetezi wa haki za binadamu Tanzania THRDC umelaani tukio la kuvamiwa na kuuawa kwa polisi katika eneo la Mbande. https://youtu.be/Kt6Rw6s8sIg
SIMU.TV: Mkuu wa wilaya ya Geita Herman Kapufi, awataka wananchi wa wilaya hiyo kutunza miundombinu ya barabara kwa kuwa serikali inatumia gharama nyingi kuitengeneza. https://youtu.be/20Y4bD1affQ
SIMU.TV: Wizara ya elimu sayansi teknolojia na mafunzo ya ufundi imeshauriwa kutafuta idadi kamili ya watoto waishio mtaani na kuwapatia elimu kwa manufaa ya baadae.https://youtu.be/eHQD1SCQ9V0
SIMU.TV: Kufuatia tukio la kupatwa kwa jua Septemba mosi hifadhi ya taifa ya Ruaha imefungua geti la pili la Ikoga ili kuongeza idadi ya watalii katika hifadhi hiyo.https://youtu.be/0eZkPUz6tpk
SIMU.TV: Wafanyabiashara katika eneo la Kariakoo wametakiwa kutii sheria kwa kutopanga bidhaa katika eneo la barabara na kusababisha adha kwa waenda kwa miguu.https://youtu.be/IFCQb_L5M3s
SIMU.TV: Uongozi wa klabu ya soka ya Simba umeeleza kuendelea kupambana na mchezaji Hassan Kessy kwa kuvunja vipengele vya mkataba wake na klabu hiyo.https://youtu.be/omCsI1fNvMI
SIMU.TV: Wachezaji wa mchezo wa gofu kutoka maeneo mbalimbali nchini wameendelea kujiandaa na michuano mbalimbali ikiwemo ile ya mkuu wa majeshi.https://youtu.be/Zj6DtNomSkU
SIMU.TV: Washiriki wa shindano la kumsaka Miss Kinondoni leo wamepata fursa ya kutembelea kampuni ya Mabibo beer and wine ambayo ndio wadhamini wa shindano hilo. https://youtu.be/kZFYx8yXGYs
SIMU.TV: Nahodha wa timu ya taifa ya Uingereza Wayne Rooney amethibitisha kuwa atastaafu kuitumikia timu hiyo mara baada ya michuano ya kombe la dunia 2018.https://youtu.be/mI7Kc93O8qA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...