Rais wa Shirika la Engender Health la Marekani Ulla Muller ambae pia ni Mtendaji Mkuu (CEO) wa Shirika hilo akizungumza na Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo alipomtembelea Ofisini kwake Mnazimmoja Mjini Zanzibar, (kulia) ni Mkurugenzi Ufundi ambae ni Naibu mwakilishi wa Shirika hilo Tanzania Feddy Mwanga.
Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akiagana na mgeni wake Rais na Mtendaji Mkuu wa Shirika la Engender Health Ulla Muller baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Waziri Mnazimmoja Zanzibar.
Picha na Makame Mshenga/Maelezo Zanzibar.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...