RATIBA YA KUUAGA MWILI WA
ALIYEKUWA MWENYEKITI MSTAAFU WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI MHE. JAJI MSTAAFU WA MAHAKAMA YA RUFANI
LEWIS MAKAME KATIKA VIWANJA VYA KARIMJEE TAREHE 22 AGOSTI, 2014.
MUDA
|
TUKIO
|
MHUSIKA
|
3.00- 3.30 ASUBUHI
|
WANANCHI NA WATUMISHI KUWASILI
|
KAMATI YA MAZISHI
|
3.30 – 4.00 ASUBUHI
|
VIONGOZI WASTAAFU, MAWAZIRI, MAJAJI WASTAAFU , VIONGOZI WA TUME YA
TAIFA YA UCHAGUZI, SERIKALI, TAASISI NA VYAMA VYA SIASA KUWASILI
|
KAMATI YA MAZISHI
|
4.00 -4.15 ASUBUHI
|
WAH. MAJAJI WA MAHAKAMA KUU KUWASILI
|
KAMATI YA MAZISHI
|
4.15 – 4.20 ASUBUHI
|
MHE. JAJI KIONGOZI
|
KAMATI YA MAZISHI
|
4.20 – 4.25 ASUBUHI
|
MAHAKAMA YA RUFANI KUWASILI
|
KAMATI YA MAZISHI
|
4.25 – 4.30 ASUBUHI
|
JAJI MKUU KUWASILI
|
KAMATI YA MAZISHI
|
4.30 – 4.40 ASUBUHI
|
SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO KUWASILI
|
KAMATI YA MAZISHI
|
4.40 - 4.45 ASUBUHI
|
MHE. WAZIRI MKUU KUWASILI
|
KAMATI YA MAZISHI
|
4.45 - 4.50
ASUBUHI
|
MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KUWASILI
|
IKULU/ KAMATI YA MAZISHI
|
4.50 – 5.00 ASUBUHI
|
MHE. RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KUWASILI
|
KAMATI YA MAZISHI
|
5.00 – 5.05 ASUBUHI
|
MWILI WA MAREHEMU KUWASILI
|
KAMATI YA MAZISHI
|
5.05 – 5.10 ASUBUHI
|
SALA
|
|
5.10 – 5.20
|
WASIFU WA MAREHEMU
|
MWANAFAMILIA
|
5.20 – 5.30 ASUBUHI
|
NENO KUTOKA KWA CHAMA CHA MAJAJI WASTAAFU
|
MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAJAJI WASTAAFU, MHE. JAJI MIHAYO
|
5.30 -5.40
|
NENO KUTOKA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI
|
MWENYEKITI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI MHE. JAJI LUBUVA
|
5.40 -5.50 ASUBUHI
|
NENO KUTOKA KWA MHE. JAJI MKUU
|
MHE. JAJI MOHAMED CHANDE OTHMAN
|
5.50 – 6.00 ASUBUHI
|
NENO KUTOKA KWA MHE. RAIS
|
MHE. JAKAYA MRISHO KIKWETE
|
6.0 -6.10 MCHANA
|
NENO LA SHUKURANI
|
MSEMAJI WA FAMILIA
|
6.10 MCHANA 6.50 MCHANA
|
KUAGA
|
KAMATI YA MAZISHI
|
6.50 -7.00 MCHANA
|
KUWASILI KANISANI – ST. ALBAN - UPANGA
|
KAMATI YA MAZISHI
|
7.00 MCHANA - 9.00 ALASIRI
|
MISA YA KUMUOMBEA MAREHEMU
|
|
9.00 ALASIRI
|
KUONDOKA KUELEKEA MUHEZA - TANGA
|
KAMATI YA MAZISHI
|
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...