"NAMSHUKURU MUNGU KWA KUCHAGULIWA KUSHIRIKI KAMA MSIMAMIZI KWENYE WORLD
CUP YA WAPISHI INAYOFANYIKA KILA BAADA YA MIAKA 4 NITAPEPERUSHA
BENDERA YA NCHI YANGU TANZANIA NI JAMBO LA KUJIVUNIA SANA".
Mpaka sasa Chef Issa Kapande mbali ya kushinda tuzo nyingi tofauti
ndani na nje ya nchi katika fani yake ya upishi pia anashikilia rekodi
ya kua Chef Mtanzania Msomi na mdogo kuliko wote aliewahi kufungua na
kuongoza hotel ya nyota tano ( Certified Executive Chef) akiwa na umri
wa miaka 25 tu. Hili ni jambo la kujivunia sana.
Mola ajaliapo anatamani sana mwaka 2018 aipeleke Tanzanian chefs
national team kwenye mashindano haya na anaimani atafanya vizuri tu
kwani kuna wapishi wazuri sana nyumbani Tanzania ingawa wamekosa
nafasi au muongozo wa kuweza kuonyesha uwezo wao Mungu ibariki
Tanzania.
Chef Issa Akiwa na Mr Wyne aliekua FB manager wakati huo.
Tuzo ya heshima kwa kutambua mchango wa chef Issa kwa chakula cha
kiafrica ndio tuzo ya mwisho aliopata mwaka jana mwezi wa 10
Chef issa akiwa na jaji mkuu wa mashindano ya kumpata mpishi bora
wa mwaka wa Sweden.
Chef Issa Akiwa kazini anamuwekea kuku wa kuoka viungo tayari kwa kuliwa.
Hapa chef Issa Kapande akiwa na management team ya East African All
suits hotel alipofungua hotel ya nyota tano na kuandika historia ya
kua certified Tanzanian Executive chef katika umri wa miaka 25 tu.
Hotel ilifunguliwa na aliekua Makamu wa Rais wakati huo ambaye sasa ni Rais wa Zanzibar,Dkt. Ali Mohamed Shein (katikati walioketi).
kwa habari zaidi za kombe la dunia la wapishi unaweza zipata hapa
http://www.vatel.lu/competitions.php
kwa habari zaidi za mapishi na za chef Issa unaweza like facebook page
https://www.facebook.com/pages/Active-chef/509561519067534
Chef upooooo juu always big up Tanzania
ReplyDeleteDAH SAFI SANAAAAAA DOGO KAZA BUTI MIMI HUWA NAKUFATILIA SANA TOKA UKIWA KIJANA WE KIBOKO
ReplyDeleteChef wewe ni mkombozi wa kina mama mungu akubari ushinde kabisa Taifa lijivunie we all behind you and we really appreciate mchango wako wa kujitolea kufundisha bure.
ReplyDeleteNetherlands
Nimeona kwenye website zinashindana national teams Je mbona Tanzania upo peke yako wengine hawa jafaulu kushiriki au inakuaje siielewi hiiiiiiiiiii
ReplyDeleteThe one and only award winning Tanzanian xecutive chef Issa Kapande go go man we all behind you brother
ReplyDeleteCHEF ISSA NIPO SERIOUS JE UMEOA, NAKUTAKA UNIOE PLEASE PLEASE
ReplyDeleteKwani wewe ni mwanamke au mwanaume maana bwana issa hujui sex orientation yake.
DeleteHureeeeeeee Tanzania juu, chef mzee wa mahanjumati unatutoa kimaso maso ughaibuni we mkali sanaaaaaa chef
ReplyDeleteLazima tujenge tabia ya kutambua mchango wa watu walioitetea vyema na kuijengea taifa heshima wakiwa hai chef Issa unastahili sifa kwa juhudi yako binafsi na uwezo na uzalendo ipende nchi yako na mola atakujaalia maisha marefu ya furaha na afya njema pambana mdogo wangu.
ReplyDeletePro. J P Canada