Mkurugenzi Mtendaji wa Tausi Dreams Foundation Tausi Likokola akisalimiana na baadhi ya wahitimu wa kidato cha sita mwishoni mwa wiki wakati alipokuwa mgeni rasmi katika wa mahafali hayo shuleni Jangwani sekondari iliyopo manispaa ya Ilala Jijini Dare s salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Tausi Dreams Foundation Tausi Likokola (wa katikati) na baadhi wa viongozi wa shule wakielekea eneo la mahafali ya kidato cha sita ya shule ya sekondari Jangwani yalifanyika mwishoni mwa wiki ambapo Mkurgenzi huyo alikuwa mgeni rasmi. Wa kwanza kushoto ni Mkuu wa Shule ya sekondari Jangwani Geraldine Mwanisenga.
Baadhi ya wahitimu wa kidato cha sita mwaka huu wa Shule ya sekondari Jangwani wakielekea eneo la mahafali yao.

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Shule yangu niliyosoma, Jangwani Girls Secondary School. Hongereni Wana-Jangwani kwa kuhitimu masomo yenu ya kidato cha sita. Nimefurahi sana kuwaona jinsi mnavyoendelea kupendeza na uniform zenu za sketi ya orange, viatu na soksi nyeupe, wote mko smart kabisa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...