Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 01, 2016

    kijpele uchungu,unaendesha motorbike huku unaongea na simu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 01, 2016

    Usalama haujazingatiwa dereva hana helmet abiria pia,na maongezi ya simu kama kawa

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 01, 2016

    Nimegundua Mdau wa globu yetu!!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 01, 2016

    Pikipiki na simu mkononi!!!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 01, 2016

    Dereva anaongea kwenye simu

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 01, 2016

    Mwendeshaji(Dereva) Anaongea na simu!Ni HATARI kama ikitokea dharua!

    ReplyDelete
  7. Dereva wa boda boda anaongea na simu.
    Hatari sana

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 01, 2016

    Dereva wa bodaboda anaendesha na huku anatumia simu, which is extremely dangerous.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 01, 2016

    RAHA JIPE MWENYEWE

    ReplyDelete
  10. Sheria za kiusalama kwa vyombo vya barabarani bado hazizingatiwi kama tuonavyo hapo:-

    1. Kwanza muendesha pikipiki/bodaboda hiyo ndio kwanza yupo kwenye simu na ushahiei muangalie kwenye hiyo sight mirror ya gari iliyopo mbele yake iki reflect image yake, huo ni ushahidi tosha!

    2. Muendesha na mpakiwaji wote hawajavaa kofia za kiusalama (Helmet) khususan kwa vyombo kama hivyo.

    3. Mpakiwaji pia na yeye yaonekana kama kakaa tu kwenye kiti kashuwarika, maana hata ile attention ya kuwa yupo kwenye chombo cha moto (cha barabarani) haipo, hapo waki 'swerve' kidogo tu, kila mmoja ataangukia angle yake.

    ReplyDelete
  11. Mwendesha pikipiki anatumia simu huku akiwa anaendesha chombo hicho.

    ReplyDelete
  12. Mwendesha pikipiki anatumia simu huku akiendesha chombo hicho.

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 02, 2016

    nimegundua kijipu upele kinahitaji kutumbuliwa. Bodaboda kwenye simu na kuendesha mkono mmoja.

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 02, 2016

    Hatari.
    Mwendeshaji wa piki piki anatumia mkono mmoja wakati mkono mwingine upo kwenye simu akiongea. Abiria wake naye ameshikilia kwa mkono mmoja mwingine upo kwenye shavu. Pia hawajavaa kofia.

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 02, 2016

    Suka na biria wote wako hewani wanapiga simu

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 02, 2016

    anaongea na simu huku anaendesha boda boda au

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 02, 2016

    usalama ziro kabisa,angalia mkono wa kushoto

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 02, 2016

    Usalama wa abiria na dereva wa bodaboda,haukuzingatiwa kabisa,wote hawakuvaa Helment,kwa ajili ya kukinga kichwa pindi ajali ikitokea,mbaya zaidi umakini wa dereva ni sifuri,kwani ana maongezi na simu yake.kitu ambacho ni khatari zaidi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...